Hebu wapenu ushauri nasaha hawa jamaa zangu!

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Jamani hawa jamaa zangu hebu wapeni ushauri wa bure.
Mimi niliogopa hata kusogea karibu kwa kuhofia kinachoweza kutokea!
The stupid driver and turnboy.jpg
 
Wanjanja hao pale wako na ufunguo wa switch mfukon wameulalia!hivi hivi thubutu yake hata km umekesha usingizi hauji!
 
hivi mtu akija au kwa mfano ile jeki pale inalemewa na kuteleza lile kontena litaelekea wapi kweli?? No sina cha kuwashauri zaidi ya kuwaaambia kuwa next time wakitaka wapumzike kwa style ile wahakikishe wamekwisha tubu dhambi zao zote
 
Wamejichokea na maisha hao. Na utashangaa watakaa hapo hata wiki na watatoka salama. Sasa jaribu kusogea hapo wewe ambaye bado unapambana na maisha uone litakavyofyatuka fasta.
 
Ukute wanawashangaa jinsi mnavyopoteza muda kuwaonea huruma. Roho zao wazitanguliza makaburini hapo!
 
na wewe uliye photoa hii picha hukuogopa kurushiwa kinyesi pindi hii kitu ingewaangukia..hakika nyani haoni kundule
Jamai kiswahili kigumu sana, sina uhakika kama nahau iliyotumiwa hapa ni mahala pake.
Na hebu tazama hilo kontena likianguka litaelekea wapi.
Ni akili ndogo tu ja imagination.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom