Watanzania mtajuta sana kwa kufanya uchaguzi usio sahihi
Yeye anasema alikuwa anajaribu akasukumizwa ndaniHA KU CHA GU LI WA. . . ! ! !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Hili la kughushi umri kwangu mimi nipo tayari hata kama sio Kweli maana nataka nilipwe haki zangu nirudi kijijini, hili halihitaji uhakiki, wao watangaze tu kuwa anayetaka kustaafu hata kama hajafikia umri wa kustaafu mbona tutajitokeza wengi kuliko hao elfu arobaini
Endapo akisema hivyo hautapata stahiki yako.Hili la kughushi umri kwangu mimi nipo tayari hata kama sio Kweli maana nataka nilipwe haki zangu nirudi kijijini, hili halihitaji uhakiki, wao watangaze tu kuwa anayetaka kustaafu hata kama hajafikia umri wa kustaafu mbona tutajitokeza wengi kuliko hao elfu arobaini
Baadaye utafuata uhakiki wa watoto na vyeti vya ndoa kwamba mfanyakazi anapohamishwa kituo chake cha kazi analipwa hela za watoto wanne na mke wake wakati mke wa ndoa walitengana naye na alikuwa na watoto wawili tu, huko ndiko tunakoelekeaNimebaki tu nacheka nikitafsiri hayo maneno na kile kitendo cha kungonoka[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji123] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yamebaki makinikia [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Soon Utaanza Uhakiki Wa Mademu Feki
Hiyo sasa itakuwa dhurumaEndapo akisema hivyo hautapata stahiki yako.
Maana utaambiwa umeamua mwenyewe kabla ya muda
[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]Mara paaaap miaka mitano inaishia kuhakiki hakiki tuu, hakuna maendeleo ya maana.