Hebu tupe maoni yako: Nini kitatokea 28/10 NEC wakitangaza Lowassa wa UKAWA ameshinda

wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
2,048
2,442
Hebu tupe maoni yako ni nini kitatokea ikiwa NEC 28/10 watamtangaza ENL kama mshindi wa urais. Toa mani yako pia ikiwa NEC watamtangaza JPM kama mshindi.
 
Lowasa lowasa dia nakuombea ushindi ushangaze ulimwengu mzima wanafiki waone baraka za mungu.
 
Back
Top Bottom