Hebu tukumbushane maisha yetu ya nyuma yalivyokuwa majumbani mwetu

AmKATRINA

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
414
366
Mimi nakumbuka kabla dada yangu wa kwanza kuzaliwa hajaolewa, yeye ndie tulikuwa tunamuonea kwenye kupika kila siku.

Dada yangu alikuwa hana jinsi maana sisi ndio tulikuwa wadogo zake. Ila akimaliza kupika sasa, hivyo vyombo vichafu mpaka juu ya dari....ila mwisho wa siku tunaelewana na kupiga story.

Siku ya harusi yake tulilia balaa...akatutania kuwa atakuwa anakuja kutupikia siku mojamoja

Pia nakumbuka tulikuwa tunaishi na kaka etu mtoto wa baba mkubwa, yaani kipindi hajaoa, ole wako akukute umesimama na mwanaume, wote mnakula makofi anakubeba juu juu mashtaka mpaka nyumbani. Nashukuru sahv wote tumeolewa na kaka zetu wameoa..

Huwa kwenye group la wasap tunakumbushana ya nyuma tunaishia kucheka tu.
Wewe mdau unakumbuka nini kabla hujaoa au hujaolewa au kabla ndugu zako hwajaoa au kuolewa?

Maana lazima kuna wababe, watemi, vilizi, vimbelembele, wakuonewa n.k
 
Dah mi nakumbuka nipo home Shemeji kaja kujifungua si akaja na mdogo wake ili amuuguze na kumsaidia kulea mtoto..

Shemeji mdogo alikuwa Pisi kali dah acha tuu.

Tulizoeanaa nikawa nikitoka matembezini namletea Pipii ya kijiti.Story za uwongo nyingii

Siku moja Shemeji akaenda Clinic na Mume wake alikuja kumchukua na gari.
Basi home tukabaki wawili...
Nakumbuka tuu yule manzii tulichezeana mwisho wasiku akawa hataki kunipa Mbunyelo weeee nkijikuta nimepata nguvu ya kunyanyua mguu ngusero ikaja juu na hapo hapo nikatia kichwaa.

Dah nashukuru sanaa maana baada ya hapo nikawa kama nimeoa maana nlikuwa na kula bure na kutomb bure Daily aniii dah.

Yale ma is ha yalikuwa mataam sanaaa
Leo hiii Gharama kila kituu kuanzia Tozoo na kila siku mbususu zinataka Mpunga dah....

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
We ni filauni sana
 
Back
Top Bottom