ketone
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 508
- 622
Kwa mtazamo wangu nahisi wengi huku tungekuwa tumeishia darasa LA saba tu kipindi nakupambana na maisha ya kitaa tungekuwa mbali sana kimaisha..wengine Leo hii wakilinfanisha elimu walio nayo na wanachomiliki au kufanya haviendani..
Kuna jamaa alijifunza ufundi carpenta wakati Mimi nipo form one Leo hii namheshimu kwa anavyomiliki..duh...
Hebu tueleze wee unaonaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa alijifunza ufundi carpenta wakati Mimi nipo form one Leo hii namheshimu kwa anavyomiliki..duh...
Hebu tueleze wee unaonaje
Sent using Jamii Forums mobile app