Hahahah. Mkuu unakumbukumbu sanaMbowe: Tumebadili gia angani
Msigwa: Watu hawataki tena kusikia mambo ya ufisadi.
Lipumba: Mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aende mahakamani.
Lisu: Lowasa ndio chaguo sahihi kwa wakati sahihi.
Lete hata moja mkuu wewe hukumbukiUjinga kabisa kukesha kote unawaza kupost ujinga wa aina hii???
Humphrey Polepole amfananisha Lowassa na Malaya.Wakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.
Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya
Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili
.........
Endelezeni wakuu.
Dr Slaa:_hasafishiki
_choo kimehamia chumba cha kulala
_Lowasa ni asset au liability kwa CHADEMA
Kwa ufupi Dr Slaa alipinga sana Lowasa kuhamia CHADEMA dakika za mwisho,na kuwa mgombea urais kwa UKAWA.
Wengi wataukwepa huu uzi sababu wanataka kula chooWakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.
Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya
Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili
.........
Endelezeni wakuu.
Wakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.
Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya
Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili
.........
Endelezeni wakuu.
Mbona mkuu una hasira hivyo. Weka hata moja hapo kama unayoUkisha jikumbusha itakusaidia nini kama huo sio ujinga ni nini.
Mi nahisi kama ccm itashinda hata kwa kura chache. Ila kwa zanzibar ndio najuaga ccm inapata shidaIla mkuu yote tuweke pembeni wewe kama wewe ndani kabis ya moyo wako unaonaje hali halisi iwapo kila kitu kitaachwa kifanyike kwa haki kabisa, tume huru ya uchaguzi, polisi na jeshi waishie tu kulinda amani na uwanja wa siasa uwe haki bin haki kwa kila mmoja na matokeo yatangazwe jinsi yalivyo. Wewe kama wewe Bwana French unaonaje?
Iwapo mko wawili tu, wewe na Mtume Mohamed au wewe na Yesu kristu (Kutegemeana na dini yako) utatoa jibu gani mkuu?
Kura unapiga wewe unalamu tumeIla mkuu yote tuweke pembeni wewe kama wewe ndani kabis ya moyo wako unaonaje hali halisi iwapo kila kitu kitaachwa kifanyike kwa haki kabisa, tume huru ya uchaguzi, polisi na jeshi waishie tu kulinda amani na uwanja wa siasa uwe haki bin haki kwa kila mmoja na matokeo yatangazwe jinsi yalivyo. Wewe kama wewe Bwana French unaonaje?
Iwapo mko wawili tu, wewe na Mtume Mohamed au wewe na Yesu kristu (Kutegemeana na dini yako) utatoa jibu gani mkuu?