Hebu tujikumbushe kauli za wana UKAWA wakati mzee lowassa alivyohamia UKAWA

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
Wakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.

Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya

Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili

.........

Endelezeni wakuu.
 
Mbowe: Tumebadili gia angani
Msigwa: Watu hawataki tena kusikia mambo ya ufisadi.
Lipumba: Mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa aende mahakamani.
Lisu: Lowasa ndio chaguo sahihi kwa wakati sahihi.
 
Dr Slaa:_hasafishiki
_choo kimehamia chumba cha kulala
_Lowasa ni asset au liability kwa CHADEMA
Kwa ufupi Dr Slaa alipinga sana Lowasa kuhamia CHADEMA dakika za mwisho,na kuwa mgombea urais kwa UKAWA.
 
Hahahah. Mkuu unakumbukumbu sana
 
Tujikumbushe na za CCM, akina Polepole, Magufuli n.k wakati huohuo.
Fisadi hasafishiki hata kwa kick
 
Tujikumbushe kauli ya katibu mstaafu komredi Kinana kuwa jamaa ni mjinga na kachanganyikiwa sijui alikuwa anamwambia nani???
 
Ila mkuu yote tuweke pembeni wewe kama wewe ndani kabis ya moyo wako unaonaje hali halisi iwapo kila kitu kitaachwa kifanyike kwa haki kabisa, tume huru ya uchaguzi, polisi na jeshi waishie tu kulinda amani na uwanja wa siasa uwe haki bin haki kwa kila mmoja na matokeo yatangazwe jinsi yalivyo. Wewe kama wewe Bwana French unaonaje?

Iwapo mko wawili tu, wewe na Mtume Mohamed au wewe na Yesu kristu (Kutegemeana na dini yako) utatoa jibu gani mkuu?
 
Wakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.

Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya

Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili

.........

Endelezeni wakuu.
Humphrey Polepole amfananisha Lowassa na Malaya.
 
Dr Slaa:_hasafishiki
_choo kimehamia chumba cha kulala
_Lowasa ni asset au liability kwa CHADEMA
Kwa ufupi Dr Slaa alipinga sana Lowasa kuhamia CHADEMA dakika za mwisho,na kuwa mgombea urais kwa UKAWA.

Na tumaini pia ataendelea kumpinga pia huko aliporudi ccm pia
 
Wakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.

Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya

Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili

.........

Endelezeni wakuu.
Wengi wataukwepa huu uzi sababu wanataka kula choo
 
Ukisha jikumbusha itakusaidia nini kama huo sio ujinga ni nini.
Wakuu hebu tujikumbushe kauli za ukawa wakati mzee lowasa amehamia ukawa.

Prof Lipumba: mzee lowasa sio mbaya ila chama chake ccm ndio kilikuwa kibaya

Mbowe: mzee lowasa atakuja na mtaji wa wapiga kura zaidi ya milioni mbili

.........

Endelezeni wakuu.
 
Ila mkuu yote tuweke pembeni wewe kama wewe ndani kabis ya moyo wako unaonaje hali halisi iwapo kila kitu kitaachwa kifanyike kwa haki kabisa, tume huru ya uchaguzi, polisi na jeshi waishie tu kulinda amani na uwanja wa siasa uwe haki bin haki kwa kila mmoja na matokeo yatangazwe jinsi yalivyo. Wewe kama wewe Bwana French unaonaje?

Iwapo mko wawili tu, wewe na Mtume Mohamed au wewe na Yesu kristu (Kutegemeana na dini yako) utatoa jibu gani mkuu?
Mi nahisi kama ccm itashinda hata kwa kura chache. Ila kwa zanzibar ndio najuaga ccm inapata shida
 
Ila mkuu yote tuweke pembeni wewe kama wewe ndani kabis ya moyo wako unaonaje hali halisi iwapo kila kitu kitaachwa kifanyike kwa haki kabisa, tume huru ya uchaguzi, polisi na jeshi waishie tu kulinda amani na uwanja wa siasa uwe haki bin haki kwa kila mmoja na matokeo yatangazwe jinsi yalivyo. Wewe kama wewe Bwana French unaonaje?

Iwapo mko wawili tu, wewe na Mtume Mohamed au wewe na Yesu kristu (Kutegemeana na dini yako) utatoa jibu gani mkuu?
Kura unapiga wewe unalamu tume
Humu kwenye chumba kuna mawakala wAko
 
Back
Top Bottom