Hebu tujadili hili suala!

'Kama ni hivyo Nina kazi kubwa ya kufanya' huyo ni wewe si rafiki yako, nearly 30 holding MA na experience ya chuo mambo madogo yanakushinda kutatua mkuu? Aahhhh
 
maombi unipe wewe, nikatae unikoromeee!!! Wanafunzi wengi skuhzi hawafanyi kazi zao wenyewe ndio maana nchi inazd kuwa na maboga mengi.
 
hueleweki wewe apo mwishoni ila kuhusu kusaidia raia kwenye research afanye sehemu yake sio kuwashika watu mpaka mikono kila mti akomae na mikono yake.
 
red: hilo ni suala la mind set. mimi nilikuwa na marafiki wawili wa kike, niliosoma nao A-level, tukaenda wote chuo kimoja. bahati mbaya mmoja alifariki mwaka juzi (may her soul R.I.P).

blue: hekima na busara zako ndo zitakujeengeeni heshima. tabia ya kumtongoza kila anayekuwa rafiki au karibu nawe ni tabia za plaboys. utaheshima kwa easy going and cheap girls, kwa wanaojishimu utadharaulika mno. mfano, mimki sikuwahi kuwatongoza hao marafiki zangu lakini Familiya ya huyo marehemu na ya huyu aliyebaki ni ndugu zangu hadi leo na tunaheshimiana kuliko unavyodhani. rafiki yangu amechumbiwa na hunieleza mambo yao ya uchumba na mipangilio mingine ya maisha.

badilikeni enyi wazinifu!


Shida ya hawa madada zetu! Ukikaa nao ukacheka nao, wanakuona sawa na wewe, niliwahi sikia (kutoka hapa kijiweni) kuwa demu ukiwa naye karibu saaana anaweza akakuhadithia hadi jinsi alivomegwa vzr/vbaya na jamaa yake!

Sasa waswahili wanasema ukicheka na mbwa utaingia naye msikitini!!
 
miss chagga wewe pia ni muhusika hapa! Hebu nijuze una best friend wa kiume, ambaye hamshea naye papuchi wala mmoja wenu kuonyesha yuko interested na mkakaa kwny relation kwa muda mrefu!

ninao wengi sana ambao hatushei papuchi........ na wala hawaonyeshi interest yeyote ya kutaka kuwa na me.
 
Kwan kosa la kijana ni lipi hadi abwatukiwe hivyo? there is something behind...mwambie afunguke zaidi mkuu!
 
Shida ya hawa madada zetu! Ukikaa nao ukacheka nao, wanakuona sawa na wewe, niliwahi sikia (kutoka hapa kijiweni) kuwa demu ukiwa naye karibu saaana anaweza akakuhadithia hadi jinsi alivomegwa vzr/vbaya na jamaa yake!

Sasa waswahili wanasema ukicheka na mbwa utaingia naye msikitini!!

mmmmh! nadhani mi nimebahatika kuwa na wastaarabu. tukikutana tunaongea mambo ya kawaida tu. tukijadili mahusiano huhusiana na matatizo yahusuyo vijana na tabia ya wengi kupenda kungonoka. ni pepo la uzinzi itu lipo kazini lkn kuwa na rafiki wa jinsia tofauti bila kuwa na uhusiano wa mapenzi inawezekana
 
Back
Top Bottom