hebu tuimbe kidogo.

hebu tuimbe kidogo.

aliso

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
32
Reaction score
2
tazama ramani utaona nchi nzuri yenye..........endeleza tuone kama uliwahi kusoma kitabu cha TUJIFUNZE LUGHA YETU enzi hizoohh
 
mito na mabonde mengi ya nafaka,majira yetu haya yangekuaje sasa utumwa wa nchi kikwete ameurejesha
 
Gesi ya mtwara..
Majira yetu hayaaa
Yangekuwaje sasaaa
CDM imetuonesha!
 
Back
Top Bottom