Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,895
- 11,788
Leo katika pitapita zangu Tiktok nimekuta advertisement ya magari ya umeme ya AION SUV kutoka GAC
Actually najua naweza kuoata information Google kama nikitaka lakini nimeona pia nije kushare na humu
Hii kampuni ofisi zao zipo wapi hapa Tanzania, I know it must be Dar but where specifically? Kuna mtu yoyote ambaye anayafahamu vizuri magari yao? Je, ni mazuri? Wameweka miundombinu ya kuchajia ya kutosha hapa Tanzania? Au at least kwa huko Dar es Salaam?
Mfano wa magari yao ni hili nimeona wanalibrand linauzwa kwa USD 54999 ambayo ni sawa na milioni 140 roughly
Pia nimeona BYD wamefungua dealership hapa Tanzania. Natamani nione haya makampuni ya Kichina yakiteka soko la Tanzania. Itakuwa ni vizuri sana