Hebu tufundane leo......

Preta - Nimependa somo lako! Hakika uko sawa kabisa. Mabinti wengi wa mjini wanajisahau sana, wao muda wote ni kujiremba nje tu, na mbwembwe zingine! Wakija kwa kitanda hakuna kitu, yeyote (mwanamke au mwanaume) kitu kikubwa ambacho anakifurahia katika mahusiano ni kuridhishana. Inapotokea mmoja mmoja anachukuliwa mazoea basi unakuta mtu anamtafuta hata mwakamke mbaya... akitegemea atapata mambo mazuri. Hii ni hata kwa mwanamke, akikuta mwanaume wake anarembe... mkewe hafiki kilele unaweza kukuta yuko tayari hata kutoka na tax driver. Huo ndo ukweli, kila mtu anapenda kufurahia ngono sio mbwembwe za nje tu.
 

You nailed it Pretta..Thumb up
 

kweli kabisa, inaelekea we uko vizuri.good ideal
 
The Ugly looking girl will always be the 1st priority because shes the ugliest on Bed..Mapenzi hayana kuremba,ni kazi tu na always the ugliest wins......

Mwenye masikio na asikie......
Nadhani hapa this is generalization at its best.., Men Cheat just because they cheat sio lazima ni kosa la dada.

Unaweza ukafanya yote na ukawa umekamilika katika kila department lakini mwisho wa siku akacheat vile vile. Mtu akipenda chungwa siku akila embe sio kwamba hapendi chungwa tena wala haimaanishi akiona parachichi ataacha kuonja.

The only thing ambayo naweza nikakubaliana na wewe ni kwamba baadhi ya watu ambao muonekano ni average they make good wives maybe sababu hawapewi vichwa kwamba ni wazuri (si unajua mgema akisifiwa) hivyo basi watu wa muonekano wa kawaida mara nyingi wana roho nzuri na character nzuri sana (nothing to do with maujanja kwenye kitanda) hapo hakuna correlation at all.
 
A shortcut to a man's heart is through his stomach.

Simply means, feed him well.
 
Huyu ukimkuta kifuani kwangu jua ananisuka gadeni lavu yangu.

Hana kitendea kazi ndo maana alikimbizwa unga ltd.
Hahahaha sipati picha Bishanga anasuka gadeni lavu la Kongosho khaaa! Ukisoma katikati ya mistari, hii Inamaana kifuani kwa bishanga ndo peupe kama ka kijana kangu ka standadi foo....
 
Last edited by a moderator:
Tunachokitaka na tunachokipata ni vitu viwili tofauti binti mkali lakini mvivu mashine mbo0vu
buint mbovu anajituma mashine mnato
 

huwa najuliza katika haya mambo ni wajibu wa nani kuhakikisha uhusiano unakwenda vizuri, iwe kwa kiandani au idara nyingine kama uzuri, etc.

Mimi nadhani ni jukumu la wote, mwanamke atajuaje kama yuko vizuri au vibaya kitandani bila kuambiwa (kumbuka haya mambo ni relative, kizuri kwako kibaya kwa mwenzio).

Na pia mwanaume anadhani yeye priority yake ni kitandani na mwenzie yuko vibaya, kwa nini asishirikiane na mwenzie kuhakikisha wako pamoja badala ya kwenda kudonoa huko nje?

Badala ya kwenda kudonoa, mweleze wazi kwamba we mwenzangu mzito kitandani, pamoja na kukufundisha kote naona huwezi na kwamba hapo ndipo udhaifu wako ulipo hivyo nimeamua kuchapa lapa kutafuta aliyemzuri kunako bed.
 
@freema,
ni wajibu wa kila mmoja kwenye mahusiano, kumbuka mahusiano ni mwanaume na mwanamke......
kama mwenzio hajui akufanyie nini ni vyema ukamfundisha...mwelekeze akushike wapi...
muelekeze akufanyie nini.....
nawe ukielekezwa jifunze......
jaribuni style mpya, mbinu mpya utundu mpya kila leo....
badilini sehemu hata mnazofanyia.... siku nyingine malizaneni kwenye gari...... au mahotelini...kama mko wenyewe na kuna ukuta hata garden mnaweza malizana huko....point ni kuwa mfanye sehemu tofauti tofauti ili kuweka ladha na kumbukumbu mpya........


taabu itakuja pale wenza wakishindwa kusomana, pale mwenza anapoelekezwa na kugomba "umejifunzia wapi" nk nk
mapenzi si lelemama, loh




 
Duuh!kumbe ndo mambo yanayoongelewa humu ndani!!basi kesho nitarudi tena,naona utaaaaaaamu!!!
 
I wish my gelifrendi wangu angekuwa hapa jf asome hii kitu, sina maana hajui nah..nah... anajua sana ila tu kuongeza ufaham preta mama asante eeh ubarikiwe xana!!


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…