Hahahaha Zion Daughter umemsoma Kaizer hapa chini? Naamini bado haudanganyiki.....Halafu wewe ninakutafuta....umenikimbia
:focus:Shemeji akikushinda njoo nikupe mbinu mbinu....
Ukifika hapo kwa wanaume nadhani itabidi nikupokee kijiti. Vijana siku hizi wananiuzi sana bana... wamekuwa wazembe mpaka vibinti vinafanyana vyenyewe kwa vyenyewe...Khaa!
KWAN DOES IT HAS TO BE WOMEN TUU ndio wanaohangaika kwa ajili ya hao wanaume me nadhan mambo haya ni two way traffic yan, you give to receive!A shortcut to a man's heart is through his stomach.
Simply means, feed him well.
KWAN DOES IT HAS TO BE WOMEN TUU ndio wanaohangaika kwa ajili ya hao wanaume me nadhan mambo haya ni two way traffic yan, you give to receive!
sio yeye hakukuruki kwa lolote hajarii kwa lolote malaya NO. 1 then wewe upo tu unakata hayo mauno!
hakuna bwana wanawake pia ni binaadamu wanahitaji kupendwa na kujariwa and all that yaan....!
Kongosho unaniacha hoi sana manake unataka notisi sasa hujaelewa nini vibration ni stail ya kutetemesha makalio peke yake..................... siendelei tafadhali.