Hebu tuburudike kidogo, tuvunje mbavu!

Hebu tuburudike kidogo, tuvunje mbavu!

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
5,656
Reaction score
218
Baba: Mwanangu mbona umeamka alfajiri
kwenda shule, kulikoni?
Mtoto: Baba namuwahi mwalimu wa bagia.
Baba: Mjinga sana wewe, badala ya kuwahi
elimu, wewe unawahi bagia?
Mtoto: Baba, unajua kiukweli kabisa kuwa elimu
haina mwisho, ila bagia mwisho saa nne.
 
toa utimbo wako peleka kwa watoto wenzio facebook.
Kwani Jukwaa gani hili?
Mbona mnapenda kuwavunja wenzanu nguvu ya kuanzisha post wakati ninyi mnadandia kuwatukana wenzenu
sasa utumbo ni wapi na wapi wakati tupo katika Jukwaa la Jokes na Utani
 
nimecheka mbaia nice kaka elim za kuunga watu hawajajua hili ni jukwaa gan ndo mana anakuruputa tu...
 
Kwanini nyie msitoke mkatafute Majukwaa mnayoyataka
Kwani Jukwaa gani hili?
Mbona mnapenda kuwavunja wenzanu nguvu ya kuanzisha post wakati ninyi mnadandia kuwatukana wenzenu
sasa utumbo ni wapi na wapi wakati tupo katika Jukwaa la Jokes na Utani

kuna mijitu sijui vip, inaingia jukwaa la jokes, alafu watu wakipost utani wanaanza kubwabwaja tu..., inakera sana yani!!
 
sie wengine akili zetu finyu kweli, mtu unalalamika nini wakati wajua fika upo jukwaa la vitimbi kama si ndio ujuha huo.
 
kama hz jokes hamzpend mnafata nn jukwaa wajinga wakubwa ni nyie msiojua mnachokisoma big up kwa post kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom