HEBU TUANGALIE NA HILI

prezdesho

Senior Member
Dec 30, 2015
150
78
KWELI HILI NALO LIWEPO?
Katika ya wizara ya elimu kiukweli bado nasubiri nini kitakuja kutokea mbele nimapema sana kuhukumu kwa sasa.......Ila kuna mambo mawili nayaona yaajabu sana kwangu na bado sijajua wanadhamira gani na elimu yetu


Jambo la kwanza ni hili unamuongezea majukumu mwalimu wakati maslahi ni yaleyale huku mkiwa na kauli za kibabe asiye fanya mnamuwajibisha .......ha haaaaa mtawajibisha robo tatu ya waalimu kwa staili hiyo

»Nataka niwaambie kama mtashindwa kumthamini huyu anayesimamia sera zenu,anayesimamia ilani yenu baadala yake mkaanza kumlazimisha atende mtaharibu....kumbuka nyinyi ni watawala na yeye anataaluma yake kila mmoja anamtegemea mwenzake


Suala la pili ni hili la viapo vya uaminifu kwa waalimu sijajua mantiki yake nn mpaka leo.....

Jamani hebu tuache kumfanya mwalimu dhalili kiasi hichi,mnyonge kupindukia mpeni haki yake kwanza ndiyo mlete yenu mbona kwengine mnafanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom