Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

htupishani tabia aiseee
 
Wanawake wanajua mengi, huyu mdada kaona boksa za sampuli nyingi, mimi mwanaume lkn silijui hili
unazijua bhnaaaa ukute ata unayo na wewe alafu mlivo wajanja mnazivaaga home tu ila ukitaka kwenda kuona na dem unatafuta kabox kazuri ka drafti kisanga kinakujaga pale dem aje home kwako maybe afanye usafi unakuta usha jisahau kuificha
 
Baby tunaweza hania pm?
 
😂😂
 

Unatumia ndala za skyway, boksa za Coast
 
Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gan uwezi kuwa naye kwenye mahusiano ?

Binafs siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anaye vaa boksa ya kitenge,mvuta sigara
Akili ya kitoto inakusumbua. Ukikua utagundua sifa za mwanaume bora ni zipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…