allyissa
Member
- Mar 22, 2018
- 20
- 7
Juzi wakuu wa shule walitakiwa kutuma majina ya walimu wanaojitolea O-tamisemi.
Leo wahitimu uchwara wa Mbeya mnakuja na jina uchwara la cofaps.
Acheni kujifanya nyie ndo mnajua kama Mbeya ina upungufu wa walimu.
Hii ni kazi ya wizara ya elimu na halmashauri sio nyie.
Huyo mwalimu mnaembwambia akajitolee mtampa nini hebu acheni taaluma iseme yenyewe.
Mnafikiria vikundi uchwara hilo sio jukumu lenu kama hamna cha kufanya kauzeni hata nyanya.
Mmeona ualimu ndio taaluma ya kuchezea acheni ujinga, cofaps mmekaa nyumbani baada ya kusikia walimu wa kujitolea mnajifanya mnaanzisha kukundi eti kimesajiliwa.
Nani kakwambia kikundi ndio kinasajiliwa hivyo acheni maapuuza.
Nilitegemea kutokana na ukosefu wa ajira za ualimu mngekuja na njia ni vipi wahitimu wa ualimu hasa sanaa wasaidiwe walau wapate ajira mbadala kwa kutoa maoni sehemu panapo husika.
Sehemu hizo hasa ni kwenye vyombo vya habari, midahalo mbalimbali ya elimu na kwingineko.