Hebu Tia neno kwenye hii picha

Haezi elewa
 
nipo apa
 
L Linaitwa Trinity
 
Weka picha yako tulinganishe
6.5ft (abnormal) kitanda cha kawaida miguu inaacho godoro nalala kama Z kwenye 6 x 5 sipand hiace nikisimama kwenye eicher naimama kuna adhabu yakua above average sasa hayo matutsi yamepitiliza uzuri yana mpunga kila kitu special order tu nimetumia lugha ya picha sidhan kama utahitaj picha tena
 
Duuuh pole , kwa hiyo vile vipanya hupandi kabisa
 
Kwa hiyo mnashuana na huyu
 
Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuu
Hao ni baba na mama wa msichana anaeolewa, na baba na mama wa mwanaume anaeoa. Kagame na mkewe Jeanette ndo wazazi wa msichana Ange alieolewa.
 
Chagua humu

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…