Hebu Tia neno kwenye hii picha

Ni 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
Haezi elewa
 
L
😂😂..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii😙😙😙😙!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu💃💃💃...!
Linaitwa Trinity
 
Weka picha yako tulinganishe
6.5ft (abnormal) kitanda cha kawaida miguu inaacho godoro nalala kama Z kwenye 6 x 5 sipand hiace nikisimama kwenye eicher naimama kuna adhabu yakua above average sasa hayo matutsi yamepitiliza uzuri yana mpunga kila kitu special order tu nimetumia lugha ya picha sidhan kama utahitaj picha tena
 
Duuuh pole , kwa hiyo vile vipanya hupandi kabisa
 
6.5ft (abnormal) kitanda cha kawaida miguu inaacho godoro nalala kama Z kwenye 6 x 5 sipand hiace nikisimama kwenye eicher naimama kuna adhabu yakua above average sasa hayo matutsi yamepitiliza uzuri yana mpunga kila kitu special order tu nimetumia lugha ya picha sidhan kama utahitaj picha tena
Kwa hiyo mnashuana na huyu
tapatalk_1562839639744.jpeg
 
Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuu
Hao ni baba na mama wa msichana anaeolewa, na baba na mama wa mwanaume anaeoa. Kagame na mkewe Jeanette ndo wazazi wa msichana Ange alieolewa.
 
😂😂..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii😙😙😙😙!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu💃💃💃...!
Chagua humu

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom