Anakuja kuzindukia pwani ya bongo katemwa na mambaAtajikuta ametekwa tu
Anakuja kuzindukia pwani ya bongo katemwa na mambaAtajikuta ametekwa tu
Haezi elewaNi 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
nipo apa😂😂..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii😙😙😙😙!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu💃💃💃...!
Kisayansi hawa watoto ni walemavu ndo maana huyo mmoja "ivan" ameshindwa kuhitimu chuo kikuu
Circumstantial humiliation kwa PK
Madogo hawana adabu. wanarefukaje zaidi ya baba wa Taifa?
Linaitwa Trinity😂😂..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii😙😙😙😙!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu💃💃💃...!
I used to think mimi na bro kagame ni warefu
6.5ft (abnormal) kitanda cha kawaida miguu inaacho godoro nalala kama Z kwenye 6 x 5 sipand hiace nikisimama kwenye eicher naimama kuna adhabu yakua above average sasa hayo matutsi yamepitiliza uzuri yana mpunga kila kitu special order tu nimetumia lugha ya picha sidhan kama utahitaj picha tenaWeka picha yako tulinganishe
Duuuh pole , kwa hiyo vile vipanya hupandi kabisa6.5ft (abnormal) kitanda cha kawaida miguu inaacho godoro nalala kama Z kwenye 6 x 5 sipand hiace nikisimama kwenye eicher naimama kuna adhabu yakua above average sasa hayo matutsi yamepitiliza uzuri yana mpunga kila kitu special order tu nimetumia lugha ya picha sidhan kama utahitaj picha tena
Kwa hiyo mnashuana na huyu6.5ft (abnormal) kitanda cha kawaida miguu inaacho godoro nalala kama Z kwenye 6 x 5 sipand hiace nikisimama kwenye eicher naimama kuna adhabu yakua above average sasa hayo matutsi yamepitiliza uzuri yana mpunga kila kitu special order tu nimetumia lugha ya picha sidhan kama utahitaj picha tena
..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu...!
Hao ni baba na mama wa msichana anaeolewa, na baba na mama wa mwanaume anaeoa. Kagame na mkewe Jeanette ndo wazazi wa msichana Ange alieolewa.Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuu
Huyu inawezekana ni malfunction kwenye thyroid gland, si urefu wa kivinasaba huo, yaani hajarithi.Kwa hiyo mnashuana na huyuView attachment 1151107
Chagua humu😂😂..Hapana..bus lilikua linatoka Rwanda..linakuja tz.yaan wamejaa humo..ni kirwanda tu..hadi sala wakasali kirwanda..wazuri jaman..alafu weusiiii😙😙😙😙!kama una rafiki wa kirwanda awe ke au me nilink naye mkuu💃💃💃...!
Chagua humu
Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com