Hebu Tia Neno Hapa...!

Kuna nyimbo tulikuwa tunaimba wakati tunatwanga mahindi kwenye kinu..... sizikumbuki....

Aaaaah jamani Kasie.

Kumbuka walau kidogo bhana. Uzuri wa wewe maisha yote yote umekulia my dear. Nice.
 
Enzi zile, kama mahindi yanaruka na kumwagika basi kinu kinafungwa khanga au tenge.

Umenikumbusha aisee.

Ni kweli kabisa walikuwa wanafunga kwa juu huko right...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…