Hebu soma hapa,Kuna watu wanaona mbele

Quinton Canosa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
997
Points
1,000
Quinton Canosa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
997 1,000
Habari wanajamii forum,poleni na kazi.Hebu leo tuone jinsi baada ya wanadamu wenzetu walivyokuwa na uwezo wa kutabiri matukio mpka yakafanana japo sio kwa asilimia 100.Pitia kidogo hapa.

The Wreck of Titans or Futility
Ni kitabu ambacho kiliandikwa na Mwandishi Morgan Robertson mwaka 1898.Kitabu kiliandika kuhusu meli kubwa moja ya kufikirika ambayo ilikuwa inaitwa TITANS ambayo ilikuwa inafanya safari zake kwenye Bahati ya Atlantiki ambayo baadaye ilizama baada ya kugonga mwamba wa barafu.Mwandishi wa kitabu hiki alionyesha kwamba meli hiyo kubwa ilipata tarehe 15 April kama meli ya Titanic ilivyokuwa.Hapa tuangalie mambo machache ambayo yaliendana na kitabu hiki cha kufikirika.Yafuatayo ni mtiririko wa matukio yaliyoandikwa kwenye kitabu cha THE WRECK OF TITAN or FUTILITY kama ifuatavyo.

Majina Meli ya Titanic(Halisi) -TITANIC
The Wreck of Titan(Book)-TITAN

Bahari Meli ya Titanic(Halisi) North Atlantic Ocean
The Wreck of Titan(Book) North Atlantic Ocean

Urefu
Meli ya Titanic(Halisi) - Mita 244 The Wreck of Titan(Book)- Mita 269

Spidi Meli ya Titanic(Halisi) 22.5 knots
The Wreck of Titan(Book) 25 knots

Upungufu Meli ya Titanic(Halisi) Maboti ya kujiokolea 16 tu
wa Maboti The Wreck of Titan(Book) Maboti ya kujiokolea 24 tu

Chanzo Meli ya Titanic -Iligonga mwamba barafu
Cha Ajali The Wreck of Titan(Book)-Iligonga mwamba barafu

Vifo Meli ya Titanic Watu 1523 walifariki
The Wreck of Titan(Book) Watu 2500 walifariki

Muda wa kuzama Meli ya Titanic-Mwezi April usiku
The Wreck of Titan(Book)-Mwezi April usiku

Uwezo(capacity) Meli ya Titanic-Tani 46,000.
The Wreck of Titan(Book)-Tani 45,000.

Miaka 14 baada ya kuandikwa kwa kitabu cha The Wreck of Titan or Futility, meli ya RMS TITANIC ilizama kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha Morgan Robertson

Mwaka huo huo Morgan Robertson alipewa tuzo ya mtabiri mzuri lakini cha kustaajabisha aliikataa tuzo hii kwa kudai kwamba yaliyotokea kwenye Titanic ni uzoefu wake kuhusu mambo ya uundaji wa meli
Kuna ambao wamekihusisha kitabu cha Morgan Robbertson na Masonic Theories
9e16c3f9e0e1f353dba11120291f48ce-the-titans-free-ebooks-jpg.632302
hlwcznjzm4rw9hnzdphj4yrh-jpeg.632303Imeandaliwa na
Quinton Canosa
JF Expert Member
Membeship since November 2012

Source....Different Global Information
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,557
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,557 2,000
What is your intention..?
 
mkandu

mkandu

Senior Member
Joined
Dec 29, 2016
Messages
152
Points
250
Age
30
mkandu

mkandu

Senior Member
Joined Dec 29, 2016
152 250
Huyu nae itakuwa alikuwa member wa hao Masonic ila alitumia mbinu km ya macko jacko wakijaribu kufafanua jambo fulani la usiri maana ikumbukwe hata ndege iliyopotea ya Indonesia yupo mtu asiyejulikana alitahadharisha wachina wasipande ndege zao.
 
Quinton Canosa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
997
Points
1,000
Quinton Canosa

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
997 1,000
Huyu nae itakuwa alikuwa member wa hao Masonic ila alitumia mbinu km ya macko jacko wakijaribu kufafanua jambo fulani la usiri maana ikumbukwe hata ndege iliyopotea ya Indonesia yupo mtu asiyejulikana alitahadharisha wachina wasipande ndege zao.
dah watu wana maono aisee
 
hashim mwamba

hashim mwamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
1,028
Points
2,000
Age
28
hashim mwamba

hashim mwamba

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
1,028 2,000
Hii story ilishaletwa
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
743
Points
500
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
743 500
Habari wanajamii forum,poleni na kazi.Hebu leo tuone jinsi baada ya wanadamu wenzetu walivyokuwa na uwezo wa kutabiri matukio mpka yakafanana japo sio kwa asilimia 100.Pitia kidogo hapa.

The Wreck of Titans or Futility
Ni kitabu ambacho kiliandikwa na Mwandishi Morgan Robertson mwaka 1898.Kitabu kiliandika kuhusu meli kubwa moja ya kufikirika ambayo ilikuwa inaitwa TITANS ambayo ilikuwa inafanya safari zake kwenye Bahati ya Atlantiki ambayo baadaye ilizama baada ya kugonga mwamba wa barafu.Mwandishi wa kitabu hiki alionyesha kwamba meli hiyo kubwa ilipata tarehe 15 April kama meli ya Titanic ilivyokuwa.Hapa tuangalie mambo machache ambayo yaliendana na kitabu hiki cha kufikirika.Yafuatayo ni mtiririko wa matukio yaliyoandikwa kwenye kitabu cha THE WRECK OF TITAN or FUTILITY kama ifuatavyo.

Majina Meli ya Titanic(Halisi) -TITANIC
The Wreck of Titan(Book)-TITAN

Bahari Meli ya Titanic(Halisi) North Atlantic Ocean
The Wreck of Titan(Book) North Atlantic Ocean

Urefu
Meli ya Titanic(Halisi) - Mita 244 The Wreck of Titan(Book)- Mita 269

Spidi Meli ya Titanic(Halisi) 22.5 knots
The Wreck of Titan(Book) 25 knots

Upungufu Meli ya Titanic(Halisi) Maboti ya kujiokolea 16 tu
wa Maboti The Wreck of Titan(Book) Maboti ya kujiokolea 24 tu

Chanzo Meli ya Titanic -Iligonga mwamba barafu
Cha Ajali The Wreck of Titan(Book)-Iligonga mwamba barafu

Vifo Meli ya Titanic Watu 1523 walifariki
The Wreck of Titan(Book) Watu 2500 walifariki

Muda wa kuzama Meli ya Titanic-Mwezi April usiku
The Wreck of Titan(Book)-Mwezi April usiku

Uwezo(capacity) Meli ya Titanic-Tani 46,000.
The Wreck of Titan(Book)-Tani 45,000.

Miaka 14 baada ya kuandikwa kwa kitabu cha The Wreck of Titan or Futility, meli ya RMS TITANIC ilizama kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha Morgan Robertson

Mwaka huo huo Morgan Robertson alipewa tuzo ya mtabiri mzuri lakini cha kustaajabisha aliikataa tuzo hii kwa kudai kwamba yaliyotokea kwenye Titanic ni uzoefu wake kuhusu mambo ya uundaji wa meli
Kuna ambao wamekihusisha kitabu cha Morgan Robbertson na Masonic TheoriesView attachment 632302 View attachment 632303

Imeandaliwa na
Quinton Canosa
JF Expert Member
Membeship since November 2012

Source....Different Global Information
Ok
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,752
Points
2,000
Age
34
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,752 2,000
Nimetoka kama mweupe kama Bashite alivyotoka mweupe Pamba sec
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,557
Points
2,000
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,557 2,000
History deals with past,present as well as future events........who knows?

❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌

history

ˈhɪst(ə)ri/
noun  • 1.
   the study of past events, particularly in human affairs.
   "medieval European history"
   synonyms: the past, former times, historical events, days of old, the old days, the good old days, time gone by, bygone days, yesterday, antiquity; More
  • 2.
   the whole series of past events connected with a particular person or thing.
   "the history of the Empire"

Who taught you HISTORY DEALS WITH PRESENT & FUTURE EVENTS..?
 
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
2,834
Points
2,000
Dindira

Dindira

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
2,834 2,000
Soma 1989 by George Orwell. Utashangaa
 
Forum statistics

Threads 1,285,880
Members 494,778
Posts 30,877,285
Top