Hebu semeni kitu kwa ntu nke....!

Mbona sielewi, yaani anapiga mswaki kwa kutumia bia? Au mcho yangu hayaoni vizuri? Majanga.

Tiba
 
Mbona sielewi, yaani anapiga mswaki kwa kutumia bia? Au mcho yangu hayaoni vizuri? Majanga.

Tiba

Ndiyo, Lakini hii inaelekea kama ni Zambia au Malawi vile. (Ndio zao hizi)
 
Je hii ni dhiki ya maji au kwasababu yupo adicted na hiyo kitu a.k.a biiiiieeeereeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…