Kama ni hivyo, swali linakuwa ni rahisi sana... na majibu yanaweza yakapatikana mengi zaidi kwasababu unaweza ukafunga mabano ukajumlisha au kutoa bila hata ya gawanya...
mkuu Fandre, ww ndiyo umekosa kabisaaa kwani pale kwenye list ya namba ulizopewa hakuna "0"(zero) pale sasa ww naona ndio umeamua kutengeneza list yako mwenyewe
Kwa kujumlisha tuu huwezi pata jibu. Haitakaa itokee ujumlishe namba witiri upate shufwaa. Pia ni ngumu kujumlisha idadi au total ya namba witiri ilete shufwa.
haha nasubiri kuona watu wanatoka jasho, hapo bila mabano au kubadilisha base tusitumie base 10, au factorial kama jamaa hapo juu alivosema hilo swali haliwezekani..