Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,048
ile bikini au?
ile bikini au?
Ilo ni vazi tu kwa jamii yao..kama lubega kwa wamasai acheni ushamba
mwanaume onyesha maungo yako yoote ila si nyama ya serikali jamani duu..hata kam ni utamaduni wangefunika n nyuma..bora wangeacha mbele. teh teh
Mwenye tatizo ni wewe Nyaningabu, usiyeweza kutofautisha watu. Huyo siyo Mwafrika ni Red-Indian, wenyeji asilia wa Marekani ya Kaskazini. Upo hapo?