Yaani mpenzi wangu amgonge rafiki yangu ambaye ni shemeji yake?we Nana uko serious Kweli?Ndio inaitwa no string attached ma...no commitment, ni sex , lots of fun...akijisikia hata kugonga best friend angu poa tu ikibidi nawaconect...maisha hayataki uwe serious kiivo, hamna wivu hapa, tatizo linaanza mmoja akifall anaanza kuona wivu...hapo chacha
🤣🤣🤣🤣Nana Kwa kweli umepagawa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....maisha hayana formula ma...live yo life...
Sasa nyie si washkaji jamani....yaani unaweza enda nae club akampenda dem na ukamsaidia kupiga mistari ili dem ajue wewe ni mshkaji tuuu asimkazie mchizi....tatizo wanaume wanaanzaga wivu yaani pale mchizi wake akinielewa daaah...[emoji849]Yaani mpenzi wangu amgonge rafiki yangu ambaye ni shemeji yake?we Nana uko serious Kweli?
Wakishakunyoosha hawa vijana wa Jezebel kila kitu utaona poa tuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nana Kwa kweli umepagawa sana
Tena wanagongana room mi nipo nacheck game ya Yanga[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mpenzi wangu amgonge rafiki yangu ambaye ni shemeji yake?we Nana uko serious Kweli?
Mnakuwa mmevuta na bange sio?Tena wanagongana room mi nipo nacheck game ya Yanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutoa siri za kambi mama...ukuje pm nikupe maujanja usije kufa na upwiru[emoji23][emoji23][emoji23]Mnakuwa mmevuta na bange sio?
Sawa. Kumbe wanakulana.Maliza shule kwanza, utayakuta tu mdogo angu[emoji847]
inawezekana kabisaUna uzoefu na masuala haya, marafiki wanakulana?
🤣🤣🤣🤣🤣haya maneno yana ukweli wa 100%.inawezekana kabisa
hili swali halinaga jibuSo mpenzi wako hapaswi kuwa na rafiki wa kiume?
Au sio?hili swali halinaga jibu