Hebu njooni mnisaidie

Hehe mimi na You IST wapi na wapi sio mimi mwaya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Basi kuna Mrembo mmoja alinilazimisha kumwelekeza njia leo nikajua ndio wewe ume-crush

Unaemuona we baby kumbe nae ana baby, unaempenda kishenzi ni mshenzi kishenzi

Bora niiiinjoi

Ngoja nije PM nikuambie kitu
 
Mapenzi ni upuuzi tu
 
Wow!!
Ngojea niku PM namba ya mjomba akutajie kabisa mahari na taratibu zote za kuchukia jimbo.
Duuuh namba yako au namba ya mjomba si unazijua mahari za wajomba zilivyo lakini kukomoana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…