that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
Alafu nifanye niniAcha zinaa kijana
AsanteeeMwambie tu kashavunja mkataba, move on na mambo mengine asije kukuponza na wewe.
Afu kweli ili anune asepeAnza kumsimulia about your other men unao flirt nao.
hamnaga kitu kama hicho, one will fallNo strings attached
Umama huruma unatoka wapi 😀😀😀Utakuwa mama huruma...Jitahidi kumweka mbali na zuia Nye*get zako
Ajikaze tuhamnaga kitu kama hicho, one will fall
labda kama mnaonana mara moja moja sana
njia ni moja tu, ghost him...Ajikaze tu
Namghost ila sasa anasumbua atakuja hadi nyumbani yaaninjia ni moja tu, ghost him...
mwambie tu ukweli yaishe, atapona mdogo mdogo😂Namghost ila sasa anasumbua atakuja hadi nyumbani yaani
Nimekuelewa sana utakua yule dada niliekua nakuelekeza njia leo pale karibu na geti langu ulikua ndani ya IST moja hivi ya silver au sio wewe?Umama huruma unatoka wapi 😀😀😀
Sitaki mahusiano ko ndo nipate na sex 😀😀kujichagulia mkaka mmoja wa kulana nae bila kupendana ni kosa?
Jamaa kakugonga hadi kanogewa kwa hio hapo we mwambie tu ukweli kwamba naelewa tu the way unavyonifanya Ila sio kwamba nakupendaNamghost ila sasa anasumbua atakuja hadi nyumbani yaani
Anataka kunimlikiJamaa kakugonga hadi kanogewa kwa hio hapo we mwambie tu ukweli kwamba naelewa tu the way unavyonifanya Ila sio kwamba nakupenda