Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana
hahahaaaa! Kanyweaaa

Wewe ulivyoweza kuvua yako wakati hamfahamiani hilo halikupi mashaka ila la yeye kukuvulia chupi? kwani wew lengo lako la kumuita na umpeleka hotelini lilikuwa ni nin? kama ulitaka kufahamiana tu kwani kulikuwa na ulazima wa kuchukua chumba,akaomba umpeleke kwako hukuona shida amepafahamu sasa ugumu umekuja kwako kwenda kupafahamu kwao mkatambulishane au wewe ulitaka uendelee kumgegeda huku ukisingizia mnafahamiana vizuri? kama ambavyo hukuogopa kumgegeda wakati mfahamiani ivyo hivyo unatakiwa ukajitambulishe kwao mtafahamiana mbele ya safari over!Habari zenu kwa kila mmoja,
Naam bila kupoteza muda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaani, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakini huyu dada tunakaa mikoa tofauti baada ya mawasiliano kukolea tukaamua kutumiana picha ikatokea kila mmoja kuvutiwa na mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa zaidi na picha yake baada ya hapo tukapanga kuonana ikabidi nimuombe anifute mkoa ninaoishi.
Dada wa watu bila hiyana akaja, Kweli tukaonana siku hiyo kila mmoja aliduwaa kumshangaa mwenzie lakini mimi ndio nilivutiwa sana na yule dada kiukweli ni mzuri sana anakila sifa yule dada nilitokea kumpenda kupita kiasi na sikuamini kama ni binadamu wa kawaida nilifikiri ni jini.
Naam baada ya hapo nikachukua taksi mpaka hoteli flani kiukweli hata yeye alifurahi sana kuwa na mimi, siku hiyo ilikuwa yafuraha sana kwangu ikabidi tuhamie sasa kwenye ulimwengu ulee ikafikia hatuua huyu bidada alitaka niende naye nyumbani kwangu akakufahamu nami nikampeleka basi tokea hapo huyu dada anataka anipeleke nyumban kwao tutambulishane.
Ushauri unahitajika hapa: huyu dada hatufahamiani vizuri kwanini anakuwa na haraka hivyo tena jambo lingine simuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizuri je kwa wengine atashindwa vp?
Japo nimejaribu kumpeleleza sana kazini kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mimi nampenda ila imani naye sina naomba ushauri wenu.
Sasa kama mlikubaliana hili kwanini mnashindwa kukubaliana? haya unayotuambia hapa yeye umemueleza na mkajadili pamoja?Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana
acha uroho
sijakataa kuwa sina kasoro kumbuka tulikutana kwaajili ya kupigana na kusepa lakin mwenzangu anataka kupack basi.......ungekuwa ww mmekutana katka mazngira hayo ungeweza kuoa kweli??
Jaman mbona mnaniandama hvyo? toen ushauri. Mwanzo hapakuwa na makubaliano ya ndoa ilikuwa friend match kwaajili ya kupeana uzoefu lakin sasa mwenza anataka mkataba wa kudumu....... Najua wengi mnajua mambo ya ndoa kuwa ukikosea kuoa yanakuwa majanga. Hebu toa ushauri sio kutukana
Yeye kapata mtu muungwana, mkarimu asiye na chembe ya choyo then analeta mapozi.
Wengine kuku na bia ziliwahi kunywewa halafu nikaambulia manyoya (demu alisepa), kapata mteremko aache longo longo!