Hebu nielezeni labda mie mshamba


tumeongea sana. ila tatizo alishajitambulisha kwa wazazi wa mwanamke na kuahidi kwenda kutoa mahari. na mwanamke ametishia kujiua mara tatu kila akimwambia anamuacha, na mbaya zaidi mwanamke kahamia kwa jamaa.
 
Unajiona mjanja kwa sababu anakupenda wewe na anashindwa kumuacha huyo mwingine manake hajamkosea lolote? Hebu tumika, wacha kelele

sijajiona mjanja. simuelewi anachotaka. kwani amefikia hatua ya kunifwatilia nyendo zangu hadi kuchunguza simu zangu nawasiliana na nani. nami nimemwambia siwezi kuwa nae mpaka atakapoufanya maamuzi
 

Una umri gan!?
 
Mwenzio aachwe ana nini na wewe usiachwe una nini?
hana lolote mpe tu kiporo apashe aende zake...
 
unadhani atakwambia hakupendi? hayo ni maneno ya kukuremba tu ili akumege! kashakwambia ana mpenzie anataka kumuoa na hawezi kumuacha.zaidi ya maneno haya ulitaka akwambieje kuwa hana future na we we!
 
!
!
okey!.....the guy is playing defensive game kukutegea tu kwani anajua unampenda na unaweza kujitoa kuwa naye ila yeye hatajitoa. Kwa hiyo atakuwa anaenjoy kotekote kwako na kwa huyo mwingine. Kifupi huyo jamaa ni SELFISH anataka chake kiwe chake na chako pia kiwe chake......
unajua ukikubali mbele itakuwaje?
ataendelea nae kwa kisingizio kama hiki cha leo,so atakuwa anakwambia anakupenda na bado ataendelea nae tu na kukupa maumivu. Mteme mapema kabla hujakomplicate zaidi.
 
anakufuatiliaje nyendo zako kama haujamuaga na kumuhusisha kwenye ratiba zako? mawasiliano yako anayapataje kama hujampa simu yako na access ya kujua unawasiliana na nani?

binafsi naamini unaweza mzuia mwanaume kuwasiliana na wewe ama hata kuendelea kukutongoza
sijajiona mjanja. simuelewi anachotaka. kwani amefikia hatua ya kunifwatilia nyendo zangu hadi kuchunguza simu zangu nawasiliana na nani. nami nimemwambia siwezi kuwa nae mpaka atakapoufanya maamuzi
 

huwezi amini but simu anawapa namba rafiki zake wa mobile networks wacheck call details. na nyendo zangu huwa ananiambia leo umepita hapa hapa pale umesimama na huyu kuongea na huyu..how do i manage that hebu nambie? hatuonani wala kukutana ni kwenye simu tu tunaongea
 

mliachana kwa muda?nahitaji ufafanuzi wa hilo kabla ya kuendelea.
 
Some things are so clear but we like to lie to our own selves.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…