Mtu ana mgeni wake,let say Garryson, Garryson ni mwenyeji,mgeni wake Let say ni Bakari. Sasa katika meza moja mwanzoni walikuwa Garryson na Bakari wakibadilishana mawazo ya hapa na pale, mara anatokea binti Girlfriend wa Garryson, Abela na kujiunga katika ile meza. Baadae katika kuondoka, Garryson alisukumwa kwa hiari kumsindikiza Bakari kituoni, Garry anamwambia gf wake kwamba anamsindikiza mgeni wake kituoni lkn gf anataka awe na bf wake huko aendako njia tofauti na mgeni wa Garryson,mara Garry anamwacha/anaachana na mgeni wake pale mgahawani na kumfuata gf wake na kuelekea katika safari zao na Abela.
Je ni halali Garryson kuachana na mgeni wake Bakari bila kumfikisha kituoni na kumpa kipaumbele mpenzi wake Abela?
Kama Abela akiwa mke itafika mahali hata mume wake hataweza kumsindikiza mgeni yeyote mahali. Hii tukio nimeliona live.