Hebu mwoneni huyu dogo

Watz bana....ndo maana hatutokaa tuendelee hadi tumeacha USHIRIKINA. Sana ndo nini kumvisha malaika huyu MAHIRIZI haya? Ndo maana kanakula hakashibi, kisa, kumbe mmemvisha mtoto mapepo. TUBADILIKE JAMANI!!!!!!!KWA YESU KUNA JIBU!!!!!!!!
 
kwa kweli mkuu ni mtafiti na mpembuzi

hii kali
 
Hizo Hirizi zote za nini aliye vikwa anaelewa maana yake? au kumwongezea uzito!!! Kanavyo fukia sasa utafikiri kanaenda mkoa kwa kutambaa!
 
NA WE UNA MACHO...... CHABO EXPERT NINI?.........UTANI TU..:laugh:
 
Na hivyo vipande vya ndimu kwenye sinia alikuwa anakula dogo au wakubwa wametupia?
 
Toto anaonekana anaenjoy mwenyewe, hivi inamaana huto tukamba kamba ni tuhirizi kweli..
 
Watz bana....ndo maana hatutokaa tuendelee hadi tumeacha USHIRIKINA. Sana ndo nini kumvisha malaika huyu MAHIRIZI haya? Ndo maana kanakula hakashibi, kisa, kumbe mmemvisha mtoto mapepo. TUBADILIKE JAMANI!!!!!!!KWA YESU KUNA JIBU!!!!!!!!

Mh!kweli mkuu uko makini!umegundua ushirikina unaofanywa na wajinga!!
 
mtoto wa MALARIA SUGU katika pozi
 
Mkuu nimekukubali kwa kuchunguza
BASI YAWEZEKANA DOGO HAPO NI KIPITISHIO TU ANAKULA WANASHIBA WENGINE.
MI SIMO
 
Watz bana....ndo maana hatutokaa tuendelee hadi tumeacha USHIRIKINA. Sana ndo nini kumvisha malaika huyu MAHIRIZI haya? Ndo maana kanakula hakashibi, kisa, kumbe mmemvisha mtoto mapepo. TUBADILIKE JAMANI!!!!!!!KWA YESU KUNA JIBU!!!!!!!!

Mmmmh kweli wewe ndo umeiona picha ya mtoto, mi nilianza kuona pilau.
Big up umesema kweli.
 
Watz bana....ndo maana hatutokaa tuendelee hadi tumeacha USHIRIKINA. Sana ndo nini kumvisha malaika huyu MAHIRIZI haya? Ndo maana kanakula hakashibi, kisa, kumbe mmemvisha mtoto mapepo. TUBADILIKE JAMANI!!!!!!!KWA YESU KUNA JIBU!!!!!!!!
bwahahahahha..
.....ndio maana napenda kuwaambia waliovamia internet sio kila kitu unapost online..hata kama unataka kumpa shosti wako flag....
..yule dinah kaweka hii kitu....hakujua bwa ha ha idiot kweli.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…