Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!

tangu mda nilipomfahamu yuko vile vile rushwa yake ni kidogo sana kuwapokea watu wanaokuja kusign affidavit(viapo) na kuvipeleka kwa mahakimu huku akijifanya ni nduguze na kusweka mfukoni sh 5000 anazopokea. kwa ufupi yupo pale mahakama ya mkoa wa dar KISUTU.wengi wanadhani ni mahakama kuu kumbe sivo kimamlaka ipo sawa na mahakama za mikoa mingine.nimeongezea tu out of topic kuwekana sawa.
Mi naona kama kuna kitu anachukua kupitia mkono wake wa kushoto toka kwa huyo mtu mwenye sharti jekunduuu!!!!!! AU MACHO YANGU YANAONA VIBAYA??????? SIO ANACHUKUA MLUNGULA HUYOO KWELII???!!!! OK! Lakini ni maoni yangu jamani.