Logic yako ipo wapi kwenye ndoa..?Kutwa kuakaa kusifia mademu na ngono zao.
Kwenu men.
Kutwa kusifia miboo mikubwa na ngono za kuwapeleka puta.
Kwenu women.
Alafu unakuja kulalamika... Ndoa chungu" na vikauli kibao vya kuikosoa ndoa.
Kwa akili hizo ndoa yako itakuwa nzuri na itadumu kweli.
Tokeni hapa msituchanganye sie.
Cc. Chivundu, ShesRise_1, Grahams, gwapole
ukiniquote hata mara mia naanzaje ku react si maamuzi yako mm yananihusu nini?Wewe ndio unajipa umuhimu
Umeona mimi ni ki ku quote popote sio wewe mwenye kihelele mkuu?
Acha mambo ya kike
Humu jukwaani nitafanya navyotaka na hakuna kitu utafanya utaendelea kubweka huko nyuma ya keyboard
wewe unavyowapangia watu ni kama nani?Kama ni jukwaa huru kwanini unataka kunipangia cha kufanya ?
Wewe kama nani?
Wewe ni msemaji wakewewe unavyowapangia watu ni kama nani?
kidogo nisahau aisee, niache mambo ya kike unanijua? niache ya kike nichukue yapi? ukiwa na ya kiume wewe inatosha mkuuukiniquote hata mara mia naanzaje ku react si maamuzi yako mm yananihusu nini?
kufanya unavyotaka ni kama alivyofanya mleta mada, amekuqoute na huna cha kumfanya.
Lala uwahi kesho kutafta chochote kitu mkuu usikauke koo👍ukiniquote hata mara mia naanzaje ku react si maamuzi yako mm yananihusu nini?
kufanya unavyotaka ni kama alivyofanya mleta mada, amekuqoute na huna cha kumfanya.
mimi ni mzuia makasiriko kutoka nje kuingia humu jfWewe ni msemaji wake
Kazi yako ni ngumu sana
Bye mkuu👋
poa mkuu japo ukitafuta wewe inatosha kiongozi, maana still unapangia watu cha kufanyaLala uwahi kesho kutafta chochote kitu mkuu usikauke koo👍
Mwanaume.,.Hicho ndio kiunganishi kikuu cha ndoa,
Sasa wewe unataka wawe wanajadili mada za issue za kwenye ndoa zao watakua wanakula Wali na maharage au Ugali na mchicha?
Sasa hayo mambo wawaachie ambao hawajaoa na ambao hawajaolewa.Kwa sababu ndio mada nyepesi isiyochosha ubongo.
Wenye ndoa waache kusema ndoa inachangamota, wakati changamoto ni wao wenyewe.Hahaha mboni km sijaelewa
Mungu abariki iwe kweli.labla anakupenda
Wazee wa KATAA NDOAKutwa kuakaa kusifia mademu na ngono zao.
Kwenu men.
Kutwa kusifia miboo mikubwa na ngono za kuwapeleka puta.
Kwenu women.
Alafu unakuja kulalamika... Ndoa chungu" na vikauli kibao vya kuikosoa ndoa.
Kwa akili hizo ndoa yako itakuwa nzuri na itadumu kweli.
Tokeni hapa msituchanganye sie.
Cc. Chivundu, ShesRise_1, Grahams, gwapole
Sawa. Ila naomba nikuswalike kaswali kamoja. Ivi wewe braza smati unamefunga ndoa?
Logic yako ipo wapi kwenye ndoa..?
Hoja yako ya msingi ni ipi?
Waliopo kwenye ndoa waache kutulalamikia kuhusu ndoa zao. Maana changamota/tatizo ni wao na sio ndoa.emily magnus said:Tokeni hapa msituleeni ujinga
Hawa watu(KATAA NDOA) ukiwauliza kwanini hawataki ndoa wanakupa majibu yasiyoeleweka.Wazee wa KATAA NDOA
Unaongea point sana, ebu njoo hapa kwa mangi tutete jambo la kujenga.Sasa hayo mambo wawaachie ambao hawajaoa na ambao hawajaolewa.
Yaani mfano mwanaume alieoa akiwa mtaani na wanaume wenzake ambao hawajaoa, akapita demu, mashkaji wakimsifia, na yeye akaungana nao.. Lazima akili yake itahamia kwa yule demu na kumsahau mkewe.
Sasa akirudi nyumbani, anaanza kumuona mke wake wa kawaida, kisa anaona nje kuna pisi kali zaidi ya mkewe. Na hapo ndo ndoa inapoingia matatani. Maana mambo mawili makubwa yatakayotokea ni:-
Heshima kushuka
Michepuko
Nipo nakuja kwa spidi zote. Ila tafadhari kuwe na kameza kalikopendeza...Unaongea point sana, ebu njoo hapa kwa mangi tutete jambo la kujenga.
Bila samahani...Sawa. Ila naomba nikuswalike kaswali kamoja. Ivi wewe braza smati unamefunga ndoa?
Sorry kama nakosea lakini.
Au sio?.....Bila samahani...
Emily magnus Umeolewa?