Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
Wanazingua sana aise. Unakuta wajadili staili ya ngono, kutongozana na upuuzi mwingi, afu likija swala la ndoa wanalalamika balaa.Msiwakataze, pengine wamejiajiri kwenye ngono
Huyo ndo mumeo anataka kufikisha ya moyoni maana unalalamika sana kwenye ndoa yenuSababu za ku ni tag hapa ni nini kijana?
Kunywa maji kwanza utulie, una haraka sanaKutwa kuakaa kusifia mademu na ngono zao.
Kwenu men.
Kutwa kusifia miboo mikubwa na ngono za kuwapeleka puta.
Kwenu women.
Alafu unakuja kulalamika... Ndoa chungu" na vikauli kibao vya kuikosoa ndoa.
Kwa akili hizo ndoa yako itakuwa nzuri na itadumu kweli.
Tokeni hapa msituchanganye sie.
Cc. Chivundu, ShesRise_1, Grahams, gwapole
Huwa unasema ndoa hutaki, kwanini?Sababu za ku ni tag hapa ni nini kijana?
Sina haraka, maana sina pakwenda. Nimetulia tu hapa, nikaona ngoja niseme jambo.Kunywa maji kwanza utulie, una haraka sana
Umeongea kwa kuwahi sana aisee, mpaka ukasahau kuedit na kuweka mwandiko sawaSina haraka, maana sina pakwenda. Nimetulia tu hapa, nikaona ngoja niseme jambo.
Unanikata stimUpuuzi huu
Nililalamika lini
Sipendagi usenge wa aina hii nikitulia mtu anakurupka kunichokoza
Wewe unaniuliza kama nani ?Huwa unasema ndoa hutaki, kwanini?
Mbona kawaida tuUmeongea kwa kuwahi sana aisee, mpaka ukasahau kuedit na kuweka mwandiko sawa
Usitoe ombi toa, toa amri.Wewe unaniuliza kama nani ?
naomba usini tag tena
Pole mamie, naona wanakutafuta maneno kwa nguvu!Wewe unaniuliza kama nani ?
naomba usini tag tena 🙏
Hicho ndio kiunganishi kikuu kwenye ndoaWanazingua sana aise. Unakuta wajadili staili ya ngono, kutongozana na upuuzi mwingi, afu likija swala la ndoa wanalalamika balaa.
Sa unajiuliza, huyu nikingia naye kwenye mahusiano tutawezana kweli. Yaani anawaza ku*ombana tu.
Ananitafuta la rohoni nikisema hapa nitatungiwa jina we mwache aendeleePole mamie, naona wanakutafuta maneno kwa nguvu!
Mbaga unaona mdogo wangu?kamsemee kwa babaake
Mkuu umeamka kuwanyoosha Leo. Vijana wako paralysed by ngono.Wanazingua sana aise. Unakuta wajadili staili ya ngono, kutongozana na upuuzi mwingi, afu likija swala la ndoa wanalalamika balaa.
Sa unajiuliza, huyu nikingia naye kwenye mahusiano tutawezana kweli. Yaani anawaza ku*ombana tu.