KANYIMBI
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,187
- 4,425
Kuna member humu anaitwa Gudume alishawahi kutupia nyuzi ambayo ilikuwa inajitosheleza kuwafunda hawa Dada zetu kuhusu suala kama hilo.Yapaswa upande uzi mpya ukisema mwanawake wengi wanajua kuoga hawajui kujiswafisha, jua tofauti ya kuoga na kujiswafisha alafu content upate kugwi kugwi haswa adadavue vizuri ili hili balaa la k kunuka lipotee