Mimi ni msichana wa miaka 21
ninampenzi wangu tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na
ninamjali
Mpenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi
mwingine kwenye instagram, anasema ananipenda sana.
Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu
ananifanyia kila kutu, ila wa Facebook pia nampenda
#Nushaurini
je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza