Mimi ni msichana wa
miaka 21 ninampenzi wangu
tumekaa naye mwaka wa tatu sasa, ninampenda sana na ninamjali
Mpenzi wangu ananihudumiaga kila ninachitaka, ila nimepata mpenzi mwingine kwenye
instagram, anasema ananipenda sana.
Ebu niambieni, ila naona huruma kumuacha mpenzi wangu huyu kwasababu ananifanyia kila kutu,
ila wa Facebook pia nampenda
#Nushaurini je? Nimuache au maana nimechoka sasa kuwaza