Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Hivi msanii gani wa Bongo fleva ambaye hata akipiga shoo bure huwezi kwenda?? Mimi kwa upande wangu ni Jafarai.
Mimi wote aisee
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
mm DIAMOND, NA YULE DIMPOZ, sheta na nk hata wakifanya show ya kugawa hela sitimbi
mm DIAMOND, NA YULE DIMPOZ, sheta na nk hata wakifanya show ya kugawa hela sitimbi