Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Wakubwa naomba mnisaidie kujibu swali hili baada ya mifano michache ifuatayo
anakupenda unampenda kwa hiyo mnapendana
unamheshimu anakuheshimu kwa hiyo mnaheshimiana
anakutii unamtii kwa hiyo ...............malizia sasa