Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa
Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers
kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India
2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater
3) branding na marketing
4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP
Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc
Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka
Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer
Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
Idea nzuri sana, ushindani hapa bongo ukoje? Who is doing it? Nairobi kuna kampuni inaitwa sendy, very successfully . Hongera sana chif.