TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau,
Hebu leo tuacheni vibiashara vidogo vidogo tuje kwenye makampuni, sasa tujadiliane katika kampuni ulizowahi kufanya nao kazi. Je, ni kampuni ipi unayoona na rahisi kuanzisha na inaingiza faida kubwa per annual.
Je, ni kampuni ipi ukianzisha ni rahisi sana kupata wateja na ku-cover ile kitu inaitwa return on investment ( ROI)?
Tambua kuna makampuni mengi kama IT, Manufacturing, Mining, Commission Agent, Recruitment, n.k
Je, ni kampuni zipi ndogo ndogo zinafanya vizuri sana kwa hapa Tanzania kwa ss hivi? Taja kampuni ambayo unatamani ufungue kama vipi elezea mtaji unaohitajika, utafutaji wa soko, changamoto n.k.
Ukielezea vizuri unaweza pata Business Partner hapa hapa, kesho mnafungua kampuni yenu.
Hebu njooni hapa tujadili wadau .
------------------------
Baadhi ya michango

Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie.
'Peer- to Peer Mobile App' itakayounganisha kati ya Truckers and Transporters kwa soko la Africa
Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc. Wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers
Kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya;
1) Ku-develop App: ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India
2) Ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater
3) Branding na Marketing
4) Preliminary Expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP
Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A, B, C, D etc
Potential Employee
Investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , India ambapo itakuwa ndio engineering center ya Mobile App tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka
Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer
Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40.
If you are serious inbox tuwe billionaires by 2025