habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
nilikunywa thumu nikafa
Haijawahi kunitokea, ila ikitokea nitajua sina changu, nitaamua kufungasha virago na kutokomea kabla sijaletewa maradhi!
mbona leo unachangia hapa au ww mzimu
nilikunywa thumu nikafa
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
nilikunywa thumu nikafa
Hiyo ndo solution, mambo ya kuangalia msg za mtu, ah! Hata aiache hapo siku nzima, siigusi.. ya nini kuleta maradhi ya moyo!