Hebu kila mtu ajiulize

Hebu kila mtu ajiulize

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,752
Umewahi kukuta SMS ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wako akimtumia mtu mwingine tofauti na wewe? Ulijisikiaje uliposikia mtu mwingine akiitwa majina mazuri ya kimapenzi na mpenzi wako, pengine kuliko hata yale ambayo huyatumia kwako? Ulichukua uamuzi gani? Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kabisa, karibuni
 
Haijawahi kunitokea, ila ikitokea nitajua sina changu, nitaamua kufungasha virago na kutokomea kabla sijaletewa maradhi!
 
labda wanataniana tu na huyo mtu mwingine...hahahahaahahaha
 
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
 
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
 
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.


Jambo jema sana kupunguza mambo mengine ambayo yalikuwa c lazima yatokee
ni kweli ww cheza nafac yako tu mama km inaenda vizuri bac mshukuru mola
 
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.

Hiyo ndo solution, mambo ya kuangalia msg za mtu, ah! Hata aiache hapo siku nzima, siigusi.. ya nini kuleta maradhi ya moyo!
 
mi nilikuta anamwambia aache kumfatilia maana ana mtu wake (ambae ni mimi). teheee!
 
Back
Top Bottom