Hebu jaribu kuwatia Moyo watu hawa

Hebu jaribu kuwatia Moyo watu hawa

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,277
1. Mwanamke anayeongoza nchi ambapo tozo zimeongezeka maradufu, ugumu wa maisha umekwea juu na mfumko wa bei ukisherehekea kilele chake cha mafanikio halafu katika dhiki hizi yeye akisimama anahadithia vita ya Urusi na Ukraine. Vaa viatu vyangu halafu umtie moyo mwanamke huyu!

2. Mwanamke ambaye anaongoza Bunge zima ambalo limetumika kupitisha tozo lukuki kwa wananchi huku wakijua kuwa hali ya maisha ni ngumu, uchumi wa wananchi ni hafifu lakini wakaamua kumkamua zaidi bila huruma. Kama ni rahisi mtie moyo mwanamke huyu!

3. Mwanamke ambaye anaongoza zoezi la sensa kitaifa ambaye ametuma watu kwenda kuhesabu watu na vishkwambi vinavyotumia umeme sehemu zisizo na umeme, vishkwambi vinavyohitaji network sehemu zisizo na network. Mtie moyo mwanamke huyu!

Yaani hata katika matendo ya giza namna hii yenye kufanywa na wanawake bado natakiwa kuwatia moyo. Excuse me my dear, mimi sio mjinga! Wanawake wana majukumu yao, kuongoza watu wengi sio kati yake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke ambaye anaongoza zoezi la sensa Kitaifa ambaye ametuma watu kwenda kuhesabu watu na vishkwambi vinavyotumia umeme sehemu zisizo na umeme, vishkwambi vinavyohitaji network sehemu zisizo na network. Mtie moyo mwanamke huyu!!
Hili nalo mkalitizame! Haiwezekani Dr. Chuwa apeleke Tablets kule West Kilimanjaro ambako hakuna Umeme! Maybe wanawatumia umeme kwa Meseji....
 
Wanawake wanaweza wakiwezeshwa , Je? Hao wana wezeshwa au wanao takiwa kuwawezesha ndio wana wahujumu
 
Shida ya mwanamke anaeongoza Ni kwamba anahusudu sana rushwa na ufisadi Hadi inampelekea upofu, Hadi wanainchi wanaona Kama inchi inaendeshwa na Yakuza mob
Atakuwa YAKUZA MOB
 
Wanawake wameendelea kuonesha kwa vitendo walivyo dhaifu kwenye medani za uongozi wa nchi hii, kule bungeni anakumbatia wahujumu uchumi 19, na huku serikalini anatazama tu pesa za walipakodi zinavyochezewa.
 
1. Mwanamke anayeongoza nchi ambapo tozo zimeongezeka maradufu, ugumu wa maisha umekwea juu na mfumko...
Dakika 20 zilizopita nimeandika maoni kumshauri huyo namba moja kwenye uzi wa kumtaka apumzike 2025... lakini nimekuja kusoma uzi wako huu walahi nshajiona fala kha!

Dah hatunabudi kuwatia moyo aisee🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom