Hebu ipe neno Katuni ya leo........

walimwengu walisema pesa ni maua na tena inaua
 
Shikamoo Mama Mdogo. Ulipotelea wapi? Nilikumiss ile mbaya!


Asante. Nilipotelea huko Katavi kutafuta jimbo nikatangaze nia kupitia chama fulani kikongwe lakini hakina ufidsadi. Loo nimeshangaa kila kona watu wamekabana, lakini si mbaya nimeaanza kwa kutembelea vijiji na vitongoji kuwahamasisha kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura (BVR). Kauri mbiu yangu ni: Mtu mmoja kura tatu (rais, mbunge, diwani) kung'oa mafisadi.

 
Ah Mama Mdogo! Kumbe wewe ni mwanasiasa na unataka kutangaza nia? Usiige hayo ma-vulture yanayovizia mizoga pori la serengeti! Wamepangana weee, kila mmoja akitamani aruhusiwe kuteremkia mzoga. Mbona sijakuonaga kwenye jukwaa la siasa? Anyway ma'mdogo, kama ni kweli usemayo nakutakia kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Aku Babu Wewe Tena Unikome Na Niondokee Wenzako Wananitunza Hela Wewe Unanitunza Maua Kwani Umeambiwa Mimi Ni Nyuki?

Kuna rafiki yangu mmoja yuko TRA singida anajiita GENTAMYCINE,loh!anavituko kama vyako ahahah
 
Kuna rafiki yangu mmoja yuko TRA singida anajiita GENTAMYCINE,loh!anavituko kama vyako ahahah

Siyo Yeye Bali Wapo Wengi Wanaojiita Gentamycine Na Humu Jamvini Kuna Wadau Watoto Wao Wamewabatiza Jina Zuri La Gentamycine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…