Hebu ipe maneno picha yangu ya leo

Amejitahidi sana kunusuru uhai wake, inaonekana wakati wake wa kuuacha ulimwengu huu bado. Ingekuwa binadamu ningemkumbusha tu kuwa 'muwinda huwindwa'
 
Kama nawe una mabawa, nifuate!
 
we mamba vipi,vya kwenye maji na nchi kavu ule ww na sisi wa angani utule wewe!sasa endelea kunifuata juu km kweli wewe mlaji wa vyote!
 
Hii caption ipo kwenye documentary moja inaitwa 'The Last Feast of the Crocodile', ni nzuri sana
 
Huyu mamba kama serikali yetu vile!!!! Yani vyote anataka....
 
"Simba akizidiwa ula hadi majani" picha hiyo ina shabihana na msemo huo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…