Hebu ipe Maneno Hii Picha Yangu ya Leo!!!!!!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
12036880_1641207499451667_8688525522996240519_n.jpg


SISI EMU Oyeeee Jamani hayo ndio Maisha Bora kwa kila M-Danganyika hapa ni kazi tu. AMa kweli Siasa ni Mchezo mchafu kweli............
 

Attachments

  • pesa ya CCM.jpg
    pesa ya CCM.jpg
    23 KB · Views: 484
Mwaka 2005 dola moja ya Marekani ilikuwa Tsh 950 leo baada ya miaka kumi dola moja ni Tsh 2100!!!pesa yetu inashuka thamani kila siku na mfumuko wa bei unaongezeka sana..CCM OUT
 
Hayo ndio mabadiliko ya chichiemu, thamani ya shilingi inaporomoka kwa kasi ya ajabu
 
Yani nimeshsngaa sana PESA yetu aina thamani ivi kweli tuna nini sisi cha kujivunia ndani ya miaka yote hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom