Hebu elezeni ni vipi Jide kamfunika FA kwenye muziki

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,247
Wanaojiita team Anaconda,nipeni sababu za msingi kwamba huyu Jide kamfunika Mwana FA kwa mziki?
ukisikiliza nyimbo zao utaona Jide hafikii hata robo ya FA.
hivi mnajua kwamba wimbo mzima wa Jide unaweza ukafunikwa kwa msamiati mmoja kwenye wimbo mmoja wa FA?

Mshindanisheni Jide kwa hela alizo nazo na FA ila si mziki maana anafunikwa ile mbovu!
 
Sasa hapa ushindani kimziki utakuwa mgumu.Kwanza huyu She yule He,pili huyu anafokafoka yule RnB sijui.Sasa sijui ushindani tutuweka vipi?
 
Jide habar nyingine, nadhan unakumbuka ile show ya FA the finest jins ilivyofunikwa na anaconda team
 
Sasa hapa ushindani kimziki utakuwa mgumu.Kwanza huyu She yule He,pili huyu anafokafoka yule RnB sijui.Sasa sijui ushindani tutuweka vipi?

hii threa italeta matusi hapa na hatuwezi kuwa compare jide na fa sababu wanafanya muziki tofauti na upande wa hela haituhusu tuwaache na hela zao!!!
 
m nawakubali wote kwa kaz nzao nzur,nkijaribu kuwafananisha,n sawa kuwashindanisha timu ya kikapu ya lakers na man utd ya mpira wa miguu,utopata majibu,so siwez walinganganisha
 
Hv kweli unashindanisha mziki wa jide na fa!!! we huoni kuwa ni style tofauti za mziki hizo?? mayb km jide naye angekuwa anarap, think out of the box
 
Wanaojiita team Anaconda,nipeni sababu za msingi kwamba huyu Jide kamfunika Mwana FA kwa mziki?
ukisikiliza nyimbo zao utaona Jide hafikii hata robo ya FA.
hivi mnajua kwamba wimbo mzima wa Jide unaweza ukafunikwa kwa msamiati mmoja kwenye wimbo mmoja wa FA?

Mshindanisheni Jide kwa hela alizo nazo na FA ila si mziki maana anafunikwa ile mbovu!

Tupe sababu kwanini Jide hamfikii FA

Kwa kigezo gani?
 
Unataka kuwashindanisha kwa mistari kwa jide ana rap?... Washindanishe kwa show, nani anaeweza kuvutia mashabiki wengi kuliko mwenzake na nadhani jibu unalo..
 
Mkuu Pengine ungeweka vigezo vya mashindano huwezi kuamua mshindi bila kutueleza ni vigezo gani umetumia katika kuwashindanisha maana ukiangalia kwa haraka haraka FA kamshikilikisha Jide kwenye nyimbo zake nyingi tu pengine kuliko msanii yeyote bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom