Refer heading....'hebu CHUNGUZA picha his kwa MAKINI..'Sijaelewa wakuu
Hilo group ni la wanawake, hao akina kaka wawili wanahusikaje na hilo group ?.Sijaelewa wakuu
Hapana mkuu kuna majina yao kabisa..
Unaweza kuta hawa wanaume picha zao ni profile picture za Facebook za wake zao.... just thinking loudly