Hebu cheki hapa!

Hebu cheki hapa!

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
477
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya ushuzi, utumbo utakuja kumtoka. Jamaa alicheka sana kusikia hilo. Siku moja mke alilazimika kuamka alfajiri awatengeze kuku kwa ajili ya sherehe, alipowatoa utumbo wale kuku akakumbuka alichowahi kumwambia mumewe akaamua kumtisha, akamnyatia mumewe ambaye alikuwa bado amelala na kumuwekea utumbo kwenye pajama lake na kurudi jikoni. Muda si mrefu mwanaume aliamka na kufanya mambo yake kama kawaida, lakini akahisi kitu cha baridi ndani ya suruali, ile kuvuta si akakuta utumbo. Akapiga ukelele,’Mama yangu nimekufa’. Mke wake aliposikia akacheka peke yake, akajua jamaa kashaukuta ule utumbo. Kimya cha kama nusu saa kilipita. Hatimaye jamaa akamfuata mkewe jikoni akiwa amelowa jasho pajama nzima.
JAMAA: Mke wangu yale uliosema leo yametokea.
MKE: Yepi jamani?
JAMAA: Mke wangu utumbo si umetoka kama ulivyosema
MKE: Pole mume wangu, sasa?
JAMAA: Namshukuru Mungu, nimejitahidi nimeusindilia na vidole na nimeweza kuurudisha ndani wote.
MKE: Mungu wangu umefanyaje? Source: Facebook

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ahahahahahhahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimeipenda nadhani hawezi kurudia tena kwenye maisha yake yote
 
Ama kweli benki haifilisiki hivi bongo za watu zina database ya vichekesho hahahahaha
 
Ha ha ha ha haaaaaaaaa umetiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiishaaaaaaaaaaaaaaaaaaukiniona niombe jeroooo
 
Asa mapolomoko ntakuona wapi? Jero kubwa sana kitaa mzazi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
duuuh noma kwel Yan .....asa tafsiri ya icho kitendo cha jamaa kusindikia utumbo na. vidole n jamaa amejiiiii.............
 
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya ushuzi, utumbo utakuja kumtoka. Jamaa alicheka sana kusikia hilo. Siku moja mke alilazimika kuamka alfajiri awatengeze kuku kwa ajili ya sherehe, alipowatoa utumbo wale kuku akakumbuka alichowahi kumwambia mumewe akaamua kumtisha, akamnyatia mumewe ambaye alikuwa bado amelala na kumuwekea utumbo kwenye pajama lake na kurudi jikoni. Muda si mrefu mwanaume aliamka na kufanya mambo yake kama kawaida, lakini akahisi kitu cha baridi ndani ya suruali, ile kuvuta si akakuta utumbo. Akapiga ukelele,’Mama yangu nimekufa’. Mke wake aliposikia akacheka peke yake, akajua jamaa kashaukuta ule utumbo. Kimya cha kama nusu saa kilipita. Hatimaye jamaa akamfuata mkewe jikoni akiwa amelowa jasho pajama nzima.
JAMAA: Mke wangu yale uliosema leo yametokea.
MKE: Yepi jamani?
JAMAA: Mke wangu utumbo si umetoka kama ulivyosema
MKE: Pole mume wangu, sasa?
JAMAA: Namshukuru Mungu, nimejitahidi nimeusindilia na vidole na nimeweza kuurudisha ndani wote.
MKE: Mungu wangu umefanyaje? Source: Facebook

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ila mke alimsababisha mumewe kujipiga vidole hv kweli jamaa aliweza kula chakula cha usiku tena kwa kiwango kile kile?
 
Hahahaha iyo kali sasa asubiri ushuzi wa kitu kilichooza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom